Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji15][emoji15][emoji15]
🤣🤣🤣Mkeka umechanika hukuView attachment 2278417
Aisee, kweli..Tusalimiane View attachment 2279266
🤣🤣🤣[emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2279377
Kawaida mbonaIla walenda kussma story za wanawake wenzio wakiliwa kimasikhara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi na kuliwa kimasikhara nayo kawaida...njoo basi tulane kimasikharaKawaida mbona
Na hiyo ndo raha yenyewe sasa. Hekaheka hizi zinayafanya maisha kuwa interestingKuishi kijijini kunahitaji moyo[emoji849]
..unaenda kuoga, unakumbuka umesahau sabuni…
Unaenda kuchukua sabuni, kurudi bafuni unakuta ng’ombe tayari amekunywa maji yote..
Unaamua kufuata maji mengine kisimani, unarudi unakuta mbuzi anamalizia kula sabuni yote[emoji848][emoji28]