MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,569
- 53,582
Finally nimepata Lyrics ya hii song....Watu wa "Bablican Bablican..." Tuko wapi [emoji23][emoji23]View attachment 2278503
Jameni kumbe na huko Tanzania ulikuwepo huu wimbo, ha ha ha!!! Leo ndio na mimi nimejua tulikua tunaimba nini miaka ile "bablican bablican"