Aya nakujaTwende nishatoa chako
Aya nakujaTwende nishatoa chako
Nataknilewehapa[emoji2957][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] Umelewa mrembo ama?
Worried newsView attachment 2279060
Baharia jasiri..[emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2278731
Hahaha [emoji28]
Aisee...una ujasiri sana?[emoji23]Mimi huwa naongeaga maneno yote. 'i can't live without u". Ila siku ya siku ukiondokaa, ndo utajua hujui [emoji1787][emoji1787] Yale maneno yote hayasadifu yaliyomoo. Ukikaa utajiuliza, huyu ndo yule au?
Kama ulikua huyajui Maajabu ya Tanzania kwenye NGUMI wacha nikufahamishe;-
Tanzania ni nchi yenye Maajabu mengi Sana,
Huenda ikawa inaongoza Kwa Maajabu Duniani,
Sasa leo wacha nikufahamishe kuhusu Maajabu ya Tanzania kwenye ngumi,
Tanzania ndio nchi pekee Duniani ambayo,
Bondia wake wa kimaitaifa anapiga na walevi wa kimaitaifa,
Na kuwadangaya watanzania kuwa anapigana bondia wa kimataifa,
Unaweza kubisha kuhusu hilo lakini huo ndio ukweli,
Kwamba Mfaume Mfaume jana hakupigana na bondia pale,
Pale hakuna bondia pale kuna mlevi tena mgonjwa,
Haiwezekani mtu bondia tena wakiume unarusha ngumi kama mwanamke,
Tena kama hiyo haitoshi round ya kwanza uko hoi,
Na unarusha ngumi ambazo hata inzi ukimpiga hafi,
Huu utaratibu wa kuleta walevi na kutuambia ni bondia ufe na ukome,
Haiwezekani mtu kama huyu unampiga halafu unajisifia umeshinda,
Leteni mabondia wanaoeleweka watakao kuza vipaji vyenu,
Upuuzi huu wa kuleta walevi tena wagonjwa,
Na kuwapiga halafu munajisifia mumeshinda,
Ipo siku mutakutana na mabondia wa kweli hatimae mufie uwanjani.
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara Kutoka MorogoroView attachment 2279049
Unafikiri ni kwa nini?[emoji16][emoji16]Sasa sie wa 20s bado mpk Leo. Halafu wao wa 40s wanaolewa haswaaa
[emoji16][emoji16][emoji16]Bila shaka ni police wa Kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16]
Those good ole days....Woofer made in homeView attachment 2278785
Mungu ni mwema, tu salama kabisa. Greetings from this side. You are blessedMimi mbona nipo Mtumishi mwema?
Kuna mvua leo nipo tu nimejilalia hapa natafakari maisha saa moja hii. Natumaini huko hamjambo pia. Mungu Aendelee kuwabariki nyote. You guys are like family to me [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji4] soma neno lileNasubiria story za warembo, naona mahubiri yamewakimbiza warembo wa jf kutoa visa vyao vya kuliwa kimasikhara