Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,862
- 147,310
Kwakweli[emoji23]Stress nazo zina viwango vyake[emoji16]
Unajikuta unasoma meme halafu unalia mwenyewe[emoji23]
Kwakweli[emoji23]Stress nazo zina viwango vyake[emoji16]
Kwanini hukumwambia dokta kama Simba wanacheza ukatuharibia vipimo vyetu[emoji16]Nimekumbuka hospital ya plan pale buguruni,
Niliambiwa nipeleke mkojo,mkojo nilikojoa kiasi then nilikuwa na bleed yaan,nikamwaga ule mkojo maana nilishaharibu[emoji23]
Nikatia maji,,,,nikapewa majibu kuwa nina mimba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikaambiwa nianze klinik chapu[emoji23]View attachment 2269703
Unadhani unajisikiaje pale unasoma meme halafu unakuta inakulenga 100%Kwakweli[emoji23]
Unajikuta unasoma meme halafu unalia mwenyewe[emoji23]
Utoto bana[emoji23]. ilikuwa 2012Kwanini hukumwambia dokta kama Simba wanacheza ukatuharibia vipimo vyetu[emoji16]
Lazima machozi yakulenge[emoji23]Unadhani unajisikiaje pale unasoma meme halafu unakuta inakulenga 100%
Sasahivi ushakuwa mkubwa[emoji18]Utoto bana[emoji23]. ilikuwa 2012
Sahivi mkubwa[emoji23]Sasahivi ushakuwa mkubwa[emoji18]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kifuani ni nyonyo ama alama ya kopa?
Hii ina ukweli wowote?
Kuingia kambi ya jeshi bila kunyoa ndevu zako.