Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,927
- 27,167
.
Wewe ni kilazaUkipata jibu njoo niite mimi kilazaView attachment 2269809



Kuna wakati ikigoma inagoma kweli hata ipigwe nesheno anthemu hakuna kitu 


Just him, even the thought of him.


Leo nimemuona mtoto anaimba 'halotel ya elfu moja? Amefika mbele akaanza 'airtel ya elfu moja' nikasema ohooo umekwishaPolisi wa bongo watafika wameshakuua
Dada yangu huwa anasema wali na mandondo ni uharibifu wa mchele