Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20220622_000931_320.jpg
 
Nimekumbuka hospital ya plan pale buguruni,

Niliambiwa nipeleke mkojo,mkojo nilikojoa kiasi then nilikuwa na bleed yaan,nikamwaga ule mkojo maana nilishaharibu[emoji23]

Nikatia maji,,,,nikapewa majibu kuwa nina mimba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikaambiwa nianze klinik chapu[emoji23]
FB_IMG_16559744343387633.jpg
 
Back
Top Bottom