Wanawake wangapi walithubutu wakapona kama siyo kipodo na talaka au kuongeza nyumba ndogo. Kwanza tutoe kitu mahari ndo tuongee. Kuna mtu wangu wa karibu kachumbiwa ndoa bado lakini asikutwe anaongea na wateja, kipodo na matusi juu.Hivi sisi wanaume hatuna chama Cha kuteteaView attachment 2251175
Chumba cha kupanga na sebure ilikuwa elfu 3
Huyo ni Nandi wa huba
Huyu ni kati ya watu niliowaheshimu sana duniani. RIP Baba Askofu.