Vladivostok
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 307
- 1,387
Haina mashiko kabisaAcha shobo
Mfyuuuuuuu.
Weka mashiko yako tucheke,Haina mashiko kabisa
Unatafuta ban, ukae kilingenj?
Hizo pesa unazitafuta kwaajili yanani kama sio wao, unajitekenya mwenye unacheka mwenyewe.Umbwaa kabisa fikiria pesa tu wachana na watoto wa kike View attachment 2259429
Kulwa na Doto
Nchi hii ina mambo ya ajabu sana. Ukimwambia mtu anaweza akasema unamtania [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka hadi nimepaliwaKulwa na Doto
Shimba ng'hima/Shimba ng'hosha [emoji16]
Rahma na Tina mkipata vibonge hamtaolewa? Pambafu!
Simba jike na simba dume mnaitaje katika lugha yenu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka hadi nimepaliwa
Huwezi amini nimeshtuka kidogo nitupe simu nilipozoom picha[emoji16][emoji16]View attachment 2269045
Mbona inatisha[emoji2957][emoji16]View attachment 2268283
Hata sijui[emoji23][emoji23]Simba jike na simba dume mnaitaje katika lugha yenu?
Au hujui?