Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Hizi ndo siasa komavu sasa japo wengi wanasema ni kituko...Huyu kamanda historia itamkumbuka vyema [emoji122][emoji122]
wanasiasa. hawaaminiki mkuu wote tuuHizi ndo siasa komavu sasa japo wengi wanasema ni kituko...Huyu kamanda historia itamkumbuka vyema [emoji122][emoji122]
View attachment 2250777
Katoto kameota mapembe kanatukana Kaka zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kidole ushatoa...
Wana roho mbaya hawa umbwa kasingiziwaDah!
Yaani mtu unaweza kujipeleka mwenyewe kituoni [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2250464
Acha tu jamani 🤣 ni maumivu sanaNa kidole ushatoa...