Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,898
- 12,179
Hii ni buku mbili
Hii ni buku mbili
Daddy Shimba nakusalimia natumai umzima wa afyaSiyo wanawake wa kileo...
Na mwanaume naye baada ya kuinuka anaweza akatafuta mwanamke mwingine na kumuacha huyu aliyemsaidia kumnyanyua.
Hapa ni bila bila yaani....
View attachment 2254030
Sijambo kabisa aisee. Asante kwa kunikumbuka. Basi nikutakie wikiendi njema kwako na wapendwa wako...Daddy Shimba nakusalimia natumai umzima wa afya
Ameen asante 🙏Sijambo kabisa aisee. Asante kwa kunikumbuka. Basi nikutakie wikiendi njema kwako na wapendwa wako...
Tigo mnaniboa sana na haka kadude kenu
View attachment 2256907
Line zote za Tigo ziko hivyo..!!Hiyo ni notification iko supervised na simu yenyewe na sio lain ya mtandao
Uso umekuwa kama ngozi ya pumbu
Hazifai mifugo??