myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Ipo sana tu ....Bado kuna Korona au ni masharti ya mikopo? [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2254033
Ipo sana tu ....Bado kuna Korona au ni masharti ya mikopo? [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2254033
Yaani anateseka sana na akomi,Kope za bandia. Labda gundi imemwingia machoni!
Kuwa mwanamke ni mtihani kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Jirani hapo sasa......[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2254060
Mjukuu bana.Ooooooh sawa babu[emoji23][emoji2440][emoji2440]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ni we we[emoji1437]Mjukuu bana.
Nilikuwa nakusanifu tu...
Nimekuchoraje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1727][emoji1727][emoji1727]
View attachment 2254119
Ka najma karembo[emoji7]Acha huyu kuna Najma leo kavaa nyeupe huwa namkubali sana sijui kaolewa bonge moja la mtoto[emoji12] harafu huwa ana comedy flani hivi dah!
Watu wanataka wawe weupe[emoji16]
[emoji1545][emoji1545]Mungu Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2254169