Shimba natambua ninachopost ujue kaka.. Kuna vituko vya kutengeneza na kuna vituko genuine..! Na kuna vituko vya kutafakarisha na kujifunza Mimi huwa napenda kupost vyote
Mfano no 1
Hivi kuvaa hivi sio kituko kweli? Sasa hapa shida iko kwenye mwonekano,hivyo badala ya kuona kivazi baadhi yetu tunaangalia mwonekano na kuhamisha mawazo kwingine..[emoji23]
Zamani ili uone kalio ilikupasa kubinua chupi, lakini siku hizi ili uone chupi inabidi kupachua kalio. Vice versa[emoji23]
View attachment 2254835