Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1654844904372.jpg
 
Shimba natambua ninachopost ujue kaka.. Kuna vituko vya kutengeneza na kuna vituko genuine..! Na kuna vituko vya kutafakarisha na kujifunza Mimi huwa napenda kupost vyote
Mfano no 1
Hivi kuvaa hivi sio kituko kweli? Sasa hapa shida iko kwenye mwonekano,hivyo badala ya kuona kivazi baadhi yetu tunaangalia mwonekano na kuhamisha mawazo kwingine..[emoji23]

Zamani ili uone kalio ilikupasa kubinua chupi, lakini siku hizi ili uone chupi inabidi kupachua kalio. Vice versa[emoji23]View attachment 2254835
Vituko vya dizaini hii haviendani na uzi wako
 
Back
Top Bottom