Nenda kacheze huo mpira,
alianza vyema kumsifu mama sasa naona anatafuta kutolewa road[emoji1][emoji1][emoji1]Royal TourView attachment 2237689
Ameonekana nyumbani kwa ashuraNamtafuta babu yangu,haonekani tokea juzi,alivyouza kiwanja hajarudi nyumbani[emoji275][emoji275][emoji275]View attachment 2231894
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya menoView attachment 2237409
Ashura kazua mambo mjini...
Smart911 😂😂Hebu tabiri,
Huyu demu mgumu,hayupo romantic ni kabila gani![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2238042
Niaje.. Kumekucha 😂😀😀 Huyo ni wewe kabisa unavyo pretend ni mgumu wakati ni mchumba tu...
Salama zako za asubuhi asubuhi... hahahaha
Ila hua nakunyoshaga wewe katoto... HahahahaNiaje.. Kumekucha 😂
Me sio mchumba, me mbad 😎
Unanitisha? HahahaIla hua nakunyoshaga wewe katoto... Hahahaha
Nakucheki muda siyo mrefu namalizia malizia...
Tom bado anadai, mama kwisha habari yake.