MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,614
- 150,010
Nipe namba yake nimpigie,haiwezekani akupige kibutu asubuhi hata chai hatujanywa[emoji41]Nimepigwa chini. Leo hii hii laivu. Hapa nilipo naugulia maumivu yaani [emoji24][emoji24][emoji24]