Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Baharia ameeleweka
Screenshot_20220520-130510.jpg
 
Namtafuta babu yangu,haonekani tokea juzi,alivyouza kiwanja hajarudi nyumbani[emoji275][emoji275][emoji275]View attachment 2231894

Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni kaweka avatar ya Love. Kauza kiwanja kazama katika penzi la supa dupa yutong huko mjini. Ataonekana hela zikiisha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Asante mjukuu mwema [emoji1545]
 
Back
Top Bottom