Dar mpaka joto litapanda yaani!Nimecheka kwa sauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Babu mzbzab hana jeuri hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwenda zako huko [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2237647
Uwiiiih sipati mzabzab atanitangaza jf yoteDar mpaka joto litapanda yaani!
Akajambo[emoji23].Tuwache!
Kajamaa hakajambo?
Ukizubaa utaliwa kimasikhara kweli maana naona ni kama vile umempania. Ukiliwa kimasikhara haki ya nani mjukuu nakubloku kila sehemu halafu nakusemea kwa "mzee" [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ataenda kuandika kimasikhara
Niepushwe na janga hili[emoji3],,naweza kuhama kijiji kwa aibu[emoji2440]Ukizubaa utaliwa kimasikhara kweli maana naona ni kama vile umempania. Ukiliwa kimasikhara haki ya nani mjukuu nakubloku kila sehemu halafu nakusemea kwa "mzee" [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]