Naye alizaliwa na wazazi wawili wakitegemea ataendeleza kizazi[emoji25]hakuna kiumbe anatoweka kwa kasi duniani kama mwanaumeView attachment 2233015
We unanichukia [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Kwahiyo mjomba unanihama juu Kwa juu?
Kweli?We unanichukia [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hilo nalijua...Kweli?
Hapo unakuwa umembananisha sehemu public unamwambia napenyeza kidogo tuu
Una uhakika???Hilo nalijua...
Nimeshakushtakia kwa Mama Mchungaji. Tegemea adhabu kali sana! [emoji16]
Achana nao. Ni haki yao kuwa na marafiki wapya. Unapopanda ngazi za kimaisha ni sawa kuacha marafiki wa zamani na kutafuta wapya wanaoendana na hali yako - kama unaona hilo ni sawa. Nina marafiki watatu wa kweli wananitosha na tumekua pamoja....Sema tuwaroge
Rock city [emoji23]Unahisi huyu anaweza kuwa anatokea mkoa gani?View attachment 2233163
Mi nilishapeleka kesi mapema na alishatoa hukumu. You are guilty! Na hukumu huwa haitenguliwi. Utajisumbua tu kwenda kunishtakia. She is on my side! [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Una uhakika???
Na Mimi nikakushtakie??
Si atakunyonga kabisa[emoji1787]