Uhuru umezidi wa mambo ya kipuuzi.hakuna kiumbe anatoweka kwa kasi duniani kama mwanaumeView attachment 2233015
Au siowatu wanaparamiana tu

Nitaliaaa heee🤣🤣🤣
Unadhani machozi yanawashtuaga sasa 🤣Nitaliaaa heee🤣🤣🤣
Kama alimfundisha Hadi yeye na kafikia umri huo si alipaswa kustaafu
Ndio kwanza mtu anakuona msanii🤣🤣Unadhani machozi yanawashtuaga sasa 🤣
Tutawanyosha wenyewe
Na mwizi 🤣🤣🤣Ndio kwanza mtu anakuona msanii🤣🤣
Mmh directly from teaching? Au alipanda kidogo
Hapa ingekuwa shida tangu kuwasilisha hati
Under 17 hatujaelewa kabisa