Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji16][emoji16][emoji16]
Ukorofi na mimi wapi na wapi?😃Unataka nikuitie?
Kuna kitu umemkorofisha kwani? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wa humu tunajikondesha tu. si unaona mavishundu hayaendani na miili yetu[emoji1787][emoji1787]Sijafika Uyole hivyo siwezi kukubishia ila wote waliomo humu JF ni vimbaumbau.....
Wewe, Saint Anne, Simara, Financial Services, Kelsea, Mumylove...
Labda mmeweka masharti kuwa kila binti wa Kinyaki akitaka kujiunga JF inabidi awe kimodo! [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Haka kenyewe hakawezi kutunyima mwaliko. Kamanda ndiyo kabisa; atstupa na nafasi ya kutoa ushauri nasaha[emoji1787]Kaache hako kakurugenzi kangu kapendwa karembo. Katashangaa siku hiyo kutukuta tumekaa high table pamoja na wanafamilia. Ndo katajua kuwa kuongea sana siyo kujua kila kitu.
Kamanda P ni mtu wangu wa karibu sana na hataniangusha....
Nipo hapa hakimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Una uhakika???
Na Mimi nikakushtakie??
Si atakunyonga kabisa[emoji1787]
Bado nareview kesi yenuMi nilishapeleka kesi mapema na alishatoa hukumu. You are guilty! Na hukumu huwa haitenguliwi. Utajisumbua tu kwenda kunishtakia. She is on my side! [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Ugomvi wa last borns tena, mrahisi sanaYupo neutral huyo [emoji1787]
Mara mia hata ungenisemea Kwa kamanda angekuwa upande wako.
Halafu kwani kuna adhabu ingine zaidi ya hii ya kununiwa?[emoji2]
AMENUmenuniwa na nani?
Hayuko neutral yule. Yuko upande wangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123]
Kamanda ni mtu mmoja namheshimu sana. Huko nitakuwa napeleka kesi kubwa kubwa tu...au nikipambana na wewe halafu ukanishinda na najua kuwa nina haki. Nitakuwa nakonyorosha mwenyewe tu kwanza...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Hakika nawaombea mfikie malengo yenu matakatifu. Huku nje huku hali wala si shwari msifikiri mchezo. Mungu na Akawasaidie [emoji1545][emoji1545]
Mbususu oyeeeee!!!Duniani kote trend ni hiyo hiyo...Traffic kubwa ni kwa ajili ya porn. Sad!
View attachment 2233290
Nilikuwa busy na Baba MwakasegeKuna mkurugenzi anapita ujumbe wangu kama hauoni vile[emoji51]
Malengo gani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mimi ya kwangu ni kutafuta kazi[emoji16]
Ya kamanda ni kujiunga praise and worship team kama mimi.
Kwamba minjunjo ya masaa matatu na bado bila bila[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2233289
Wala siyo wewe.Nilikuwa busy na Baba Mwakasege
Malengo ya kamanda nayajua. Amen imekuwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣