Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kaache hako kakurugenzi kangu kapendwa karembo. Katashangaa siku hiyo kutukuta tumekaa high table pamoja na wanafamilia. Ndo katajua kuwa kuongea sana siyo kujua kila kitu.

Kamanda P ni mtu wangu wa karibu sana na hataniangusha....
Kwahiyo utakuwa upande wa familia ya kamanda na siyo upande wa familia yangu?
 
"Lakini pia kwenye hii team nina college mate wangu na yeye pia leo nimemuapisha,"- Rais @SuluhuSamia

#UapishoViongoziIkulu.


Hahahaaaaa [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmeona eeeeee tupendane maclassmates au schoolmates ipo siku tutaapishana hivi
Ma classmates wangu wana mavyeo makubwa lakini wanaringa hao. Si waniapishe tu jamani?
 
Kisukuma hicho, wanyaki ni mabonge [emoji1787][emoji1787]
Sijafika Uyole hivyo siwezi kukubishia ila wote waliomo humu JF ni vimbaumbau.....

Wewe, Saint Anne, Simara, Financial Services, Kelsea, Mumylove...

Labda mmeweka masharti kuwa kila binti wa Kinyaki akitaka kujiunga JF inabidi awe kimodo! [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
MILF...

Cougar....

Matured wine....

Ni kama huyu Diane Lane...Miaka 57 lakini bado ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
dianelane_gallery~p~Cdt4iKRO33v~3.jpg
 
Back
Top Bottom