Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Nyie tena, mbona mnajulikana vizuri[emoji1787][emoji1787]Halafu uwe Msukuma sasa weeh! [emoji16][emoji16]
Tunawasubiri kwa hamuTupo kunyosha akina Junia wa watu na wazazi wao huku tukisubiri akina Junia wetu
Shimba Ya Buyenze tunanyimwa mwaliko MkurugenziMtajutraaaaa wewe na mkurugenzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kisukuma hicho, wanyaki ni mabonge [emoji1787][emoji1787]Hiki lazima kitakuwa kimbaumbau na likely Kinyaki au Kizaramo! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Tabia zenu vi last bornNilikuwa namchimba biti bro..hadi baba anaingilia kati.
Namwambia nipige sasa kama unaweza[emoji1787]