Haaaaaa mkuu, tayari nilikuwa nachagua suti matata hapaJamani Jumatatu ya Pasaka nimeandaa hafla fupi nyumbani kwangu kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa mambo kadhaa aliyonitendea.
Kutakuwa na vinywaji vya aina mbalimbali na kuna mbuzi atachomwa na mtaalamu wa kuchoma nyama atakuja na jiko lake palepale.
[emoji1426]
NB: Nawaomba wote jamani mjitahidi kufuata mfano wa huyo jamaa aliyenifowadia hiyo sms, na nyie muandae hafla ya kumshukuru Mungu majumbani kwenu kwa mambo mbalimbali aliyowatendea. Mi nikiwa na hela ntaandaa pia.
Kama namwelewa vile!!!!!?
Sasa moshi wa shisha ni wa kufananisha na moshi wa jiko la kuni?
Moshi wa shisha mzuri??Sasa moshi wa shisha ni wa kufananisha na moshi wa jiko la kuni?
Sijui ukifika huko mapafuni ila ni haufananii na moshi wa kuni.Moshi wa shisha mzuri??
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117]you gerrit?View attachment 2189401
Nilikuwa siijui hii leo ntavuta shisha nione[emoji109]Sijui ukifika huko mapafuni ila ni haufananii na moshi wa kuni.
Moshi wa kuni unaumiza macho ila wa shisha hauumizi chochote + una flavors inayoleta uharufu kwenye moshi wake
Alimpiga[emoji1787][emoji1787]Jenerali Yoweri Kaguta Museveni...
View attachment 2189629
Mint flavor is the best 🤪Nilikuwa siijui hii leo ntavuta shisha nione[emoji109]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Mke mkubwa mzuriManara hoyeeeeeeeeeeView attachment 2189813