Jamani hizi shule watoto hawazipendi...kama wazazi tunawapeleka ahule mapema sana alafu sasa shule zenyewe...ata mie ningezaliwa wakati huu kwa kweli nisingependa shule
🤣🤣🤣🤣🤣 Heshimu watu....
Ungependa kuangalia katuni?Jamani hizi shule watoto hawazipendi...kama wazazi tunawapeleka ahule mapema sana alafu sasa shule zenyewe...ata mie ningezaliwa wakati huu kwa kweli nisingependa shule
Kabisaaa....wee mtoto miaka mitatu unaamshwa saa 11 alfajiri jzunguke kwenye skulbus wee ndio uingie darasani upo hoi.Ungependa kuangalia katuni?
Hilo tatizo lipo kwa wazazi,yaani sijui ni sifa au vipi,shule za jirani na wanapoishi zipo,lakini ionekane tu mwanae anaenda skuli na hayo magari ya njano.Kabisaaa....wee mtoto miaka mitatu unaamshwa saa 11 alfajiri jzunguke kwenye skulbus wee ndio uingie darasani upo hoi.
Mtoto wa darasa la nne eti yupo shule mpka saa 11 jioni....anasoma nini cha ajabu?
Umepata wapi mtoto wakati mm na ww bado hatujafahamiana.?