Tight + higher temperature + aromas
Huyo sio wangu ni wa mama juniaUmepata wapi mtoto wakati mm na ww bado hatujafahamiana.?

Afadhali mana nmeanza kuogopa. 😁😁Huyo sio wangu ni wa mama junia![]()
Mtupe nafsi, roho na mwili. Umeona, mimi nimekupa summary. Nasubiri yako
acha uchoyo!!

Jamani Jumatatu ya Pasaka nimeandaa hafla fupi nyumbani kwangu kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa mambo kadhaa aliyonitendea.
Kutakuwa na vinywaji vya aina mbalimbali na kuna mbuzi atachomwa na mtaalamu wa kuchoma nyama atakuja na jiko lake palepale.
NB: Nawaomba wote jamani mjitahidi kufuata mfano wa huyo jamaa aliyenifowadia hiyo sms, na nyie muandae hafla ya kumshukuru Mungu majumbani kwenu kwa mambo mbalimbali aliyowatendea. Mi nikiwa na hela ntaandaa pia.

,unaturusha roho. Kabla sijaona NB nlitaka kusema kweli Mungu amekuonekania mpaka kualika jukwaa zima si mchezo. Nlikua nasubiri tu utaje lokesheni.