Hii huwa inanipa shida sana.
Si ulitangaza kuachana na haya mambo mzee baba[emoji41][emoji41]
Single mom stand up [emoji1540]
[emoji23][emoji23][emoji23]Vile nitajibu siku nikiambiwa kuwa nimsifie Samia[emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2104279
Kupandisha mabega na ukiukwaji wa haki za binadamu kumemnyima nafasi ya kula mema ya nchi.Maybe tomorrow,..View attachment 2103553
Nilijua tuUnawaonea.[emoji41]
Muddy hawana shida[emoji23]
Hawa wana lao jamboKupandisha mabega na ukiukwaji wa haki za binadamu kumemnyima nafasi ya kula mema ya nchi.
Wale aliodhani wamefutika kwenye ulingo wa siasa wamesimama wanamwangalia.
Akikimbuka Ushubwada aliofanya zama za mwendazake lazima atoe machozi.
Siasa ni kama draft,.
View attachment 2104442
Siku hazigandi[emoji23][emoji23]
Hahahaha[emoji23]Mkikutana wavivu raha sana,kila mmoja anamtegea mwenzie kazi[emoji3]
Nipo zangu kitandani sijashusha neti,nasubiri dogo aje ashushe,mmbu balaa
Dogo nae kakaaa anajifanya anasoma,anasubiri nishushe neti,apande kitandani,,anajipiga piga tu mmbu[emoji23][emoji23]
Na mie leo sishushi Neti,
5Nina zawadi ya elfu 10 kwa atakayekuwa wa kwanza kutoa jibu sahihi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2103193
Kuna mahali nilionyeshwa dimpoz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikumbushe Ankali[emoji23]