Ooooooooooh nipeleke nikazioneKuna mahali nilionyeshwa dimpoz![]()
NimeshakupelekaOoooooooooh nipeleke nikazione
Kama hii![]()
Tutakaoibuka valentine single tujuane hapa
Mambo zenu wakuu? Tutakaoibuka valentine single and we never regret it. Big up to us. Japo kiugumuugumu kwangu aisee,..maana upweke nao nongwa lakin unakuwa umekwepa vingi viumizavyo. Yes am single mom again. (Kiukweli kinachoniponza ni hasira nikigundua kitu bas nareact and no retreat no...www.jamiiforums.com
hadi mida ya wangaHalftime: 1-1
Kupuyanga mitandaoni usiku kucha wakati wengine wako bize wakipelekewa motoKama hiihadi mida ya wangaView attachment 2104522




Siasa zina raha yake bhana.Aaa wapi! Awamu hii inarudisha wote waliokataliwa na awamu iliyopita. Hata akina Kigogo wote wamesharudi serikalini (Marope, mbunge wa Millet n.k). Ni siasa. Ukizubaa unauliwa...
Na hawa kurudishwa haina maana kwamba ni wasafi sana. Siasa! Adui yako wa leo ndiyo rafiki yako wa kesho (and vice versa)...na walio ndani ya duara wanacheza kulingana na mdundo wa ngoma. Shida ni sisi tulio nje ya duara!
By the way Mbowe ni gaidi au siyo gaidi?

