Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Ahsante ila badobadoOooh pole. Ulale salama basi (in case simu ikizima ghafla)
Ahsante ila badobadoOooh pole. Ulale salama basi (in case simu ikizima ghafla)



Nipo hapa!![]()
Tutakaoibuka valentine single tujuane hapa
Mambo zenu wakuu? Tutakaoibuka valentine single and we never regret it. Big up to us. Japo kiugumuugumu kwangu aisee,..maana upweke nao nongwa lakin unakuwa umekwepa vingi viumizavyo. Yes am single mom again. (Kiukweli kinachoniponza ni hasira nikigundua kitu bas nareact and no retreat no...www.jamiiforums.com
Naondoka na viatu vyote vinne!
Hivi bado yuko hai? Si atakuwa keshauawa na mipombeAhahahah huyu nadhani ni yule mhenga aliesema “pombe sio chai" maana hapo kichwa kishakuwa kizito anatafakari namna yakuumaliza huo mzinga.
sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app


