Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Gazeti la propaganda lililokuwa linatumiwa na Serikali ya Awamu lilimchafua sana Zuhura Yunus. Leo Zuhura Yunus ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais - Ikulu. Tulikuwa tunawashauri watu waliokuwa karibu na watawala katika Awamu ya Tano kuwa waache kuchafua watu hawakutaka kutusikia!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile MwamakulaView attachment 2104255
Aaa wapi! Awamu hii inarudisha wote waliokataliwa na awamu iliyopita. Hata akina Kigogo wote wamesharudi serikalini (Marope, mbunge wa Millet n.k). Ni siasa. Ukizubaa unauliwa...

Na hawa kurudishwa haina maana kwamba ni wasafi sana. Siasa! Adui yako wa leo ndiyo rafiki yako wa kesho (and vice versa)...na walio ndani ya duara wanacheza kulingana na mdundo wa ngoma. Shida ni sisi tulio nje ya duara!

By the way Mbowe ni gaidi au siyo gaidi?
 
iammudrick~p~CZXAwvVqWPz~1.jpg
 
Acha tu ndugu yangu. Haya mambo ni magumu. Hapa nilipo kuna baridi la kufa mtu halafu sina mtu wa kupashana naye joto. Mpaka nachanganyikiwa yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Tatizo lako unataka tu ma yutong na utapata tabu sana mpaka pale utakapokubali kuwa sisi ndio tuko [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom