Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

"HII NCHI NGUMU SANA, KATIKA PITAPITA ZANGU"
-KWA HESHIMA NA TAHADHIMA 2NAKUOMBA JOSHUA BADILISHA COVER PHOTO NA PROFILE PHOTO ZAKO MAANA UNA2CHANGANYA WANANCHI..!
"MWENYEKITI WAKO MAMA SAMIA AU MHESHIMIWA MBOWE?"
-View attachment 2103530
Wanasiasa malaya malaya tu (in Mwl. Nyerere's voice)
 
Haya mambo huwa yanaanza hivi hivi polepole kabla hamjakaa sawa yameshakuwa makubwa na kushindikana. Labda tumechoka na hii amani aisee. Watu wamekuwa katili wala hawajali. Nini kinasababisha hii hali? Tunaelekea wapi kama taifa?
FB_IMG_1643686440235.jpg
 
Alimtabiria mama kuwa anafaa kuwa Makamu wa Rais na kweli akawa. Sema tu madaraka yalimlewesha vinginevyo angepewa hata ubalozi akale raha alizozoea huko kuliko kuishi kwa hofu ya kufikishwa mahakamani kama ilivyo sasa. Hata kama ana pesa kiasi gani atakuwa hana amani huyu. Time will tell!
********************
JamiiForums441982069.jpg
 
Alimtabiria mama kuwa anafaa kuwa Makamu wa Rais na kweli akawa. Sema tu madaraka yalimlewesha vinginevyo angepewa hata ubalozi akale raha alizozoea huko kuliko kuishi kwa hofu ya kufikishwa mahakamani kama ilivyo sasa. Hata kama ana pesa kiasi gani atakuwa hana amani huyu. Time will tell!
View attachment 2103565
That's why I hate politik
 
Back
Top Bottom