daaah hii INA uhalisia ndani yangu
sio poa,,,hahahaaaaa mi nilkua mgeni halali
Mshana jr..numeamini kuwa savanna kumbe kuna zinaowaacha salama kabisaaa!
Mshana jr..numeamini kuwa savanna kumbe kuna zinaowaacha salama kabisaaa!
Ahahahah huyu nadhani ni yule mhenga aliesema “pombe sio chai" maana hapo kichwa kishakuwa kizito anatafakari namna yakuumaliza huo mzinga.
hahaha