Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Unakosa hela wakati ni mzaliwa mkoa wa Njombe?
Unafeli wapi madam.
Fursa kibaaao[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtafute mshauri wa masuala ya Uchumi mkoani humo Dr Mwandilami jr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ina maana Njombe Mgendera kila mtu ana hela au inakuwaje? Ila Wakinga kwa biashara nawaaminia [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Wanamcheka sana. Mara mtoto. Mara umasikini...kazi kweli kweli. Inaonekana hata yeye hakuwa makini kwa sababu kuna kipindi alikuwa anavuma sana. Na wenzake akina Uwoya mbona bado wanatamba tu na bata za kufa mtu? Yeye alikosea wapi?
Anajifelisha mwenyewe.
Ujuaji mwingi.

Ajiandae kuliwa mbususu na kila mtoto anayechipukia Kwenye sanaa.
 
Ina maana Njombe Mgendera kila mtu ana hela au inakuwaje? Ila Wakinga kwa biashara nawaaminia [emoji122][emoji122][emoji122]
Mkoa wa Njombe kuna Wamanda, Wabena, Wawanji na Wakinga na vikabila vingine.

Hawa "Wakinga" hawaupendi Umasikini.
Kwa hiyo wanachapa kazi kama vifoko.
Wakifanikiwa wanaambiwa wachawi.
Dunia haina jema
 
Unakosa hela wakati ni mzaliwa mkoa wa Njombe?
Unafeli wapi madam.
Fursa kibaaao[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtafute mshauri wa masuala ya Uchumi mkoani humo Dr Mwandulami jr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eeh mwandulami tena[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom