Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Asifiwe sana.
Sisi wageni tupo tayari[emoji23][emoji23]
IMG_1638713545470.jpg
 
Waafrika bwana. Yaani tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana!

Wakati wenzetu huko wanaambiana kulala mtupu kunasaidia mzunguko wa damu na hivyo kuimarisha moyo na presha sisi bado tunatishiana kuingiliwa na wachawi. Bado safari yetu ni ndefu. Sad [emoji24]
 
Hamna kitu hapo...hata kama analo huyu litakuwa gumu sana...

Raha liwe laiiiini ukilibwatua tu kidogo linabwatuka na kutimbwilika kwa muda utafikiri unafanya utafiti wa athari za gravity kwenye vibrating soft body kama ilivyotabiriwa na nadharia ya Relativity ya Albert Einstein [emoji16]

1.85835574965646771E18.jpg
 
Back
Top Bottom