Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 60,935
- 124,023
[emoji16][emoji16][emoji16] mimi sio ubahili...unaweza kubahilia hela ambayo huna?Ubahili aisee
[emoji16][emoji16][emoji16] mimi sio ubahili...unaweza kubahilia hela ambayo huna?Ubahili aisee
Kuko wazi mbona?Nisiitake kwa nini sasa nakujaa nifungulie mlango[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Wanamcheka sana. Mara mtoto. Mara umasikini...kazi kweli kweli. Inaonekana hata yeye hakuwa makini kwa sababu kuna kipindi alikuwa anavuma sana. Na wenzake akina Uwoya mbona bado wanatamba tu na bata za kufa mtu? Yeye alikosea wapi?Heri mimi nisiye na umaarufu [emoji3063][emoji3063]
Ujinga mtupu[emoji15][emoji15]
Namba 5, nadhani nimeangalia vemaNina zawadi ya elfu 10 kwa atakayekuwa wa kwanza kutoa jibu sahihi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2103193
Uko sahihi lakini tayari binti wa Njombe Mgendera keshaiwahi...Ila wewe hata ungekuwa wa kwanza kupata jibu sahihi nisingekupa zawadi yangu ng'o! [emoji16][emoji16][emoji16]Namba 5, nadhani nimeangalia vema
Aaah wapi.Kama ni hivyo basi huna kosa [emoji16]
View attachment 2103206
Malaya naye ateswe kwenye 6x6.
Khaa...huwezi kushindana na ulipotoka. Never [emoji16] Utaishia kuumia mwenyeweMalaya naye ateswe kwenye 6x6.
Gonga mpaka maji maji yakauke[emoji16][emoji16][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mabaharia wa zama hizi shida tupuBaharia hoii [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2103215
Makosa hayo ya uvulana wengi tumepita.Uko kama mimi. Tangu nizaliwe nilishanunua mara moja tu tena zamani na kwa kulaghaiwa. Washikaji walinibeba eti twende huku tukakuonyeshe mambo tukakata kona hapa na pale kuja kushtuka tuko majumba saba kwa Wahaya nikaambiwa ingia pale kuna kabinti kapya kapya ndo kamekuja hela hii hapa. Nikaingia kwa shingo upande lakini....mpaka leo sijawahi kununua aisee [emoji16][emoji16]
Unakosa hela wakati ni mzaliwa mkoa wa Njombe?[emoji16][emoji16][emoji16] mimi sio ubahili...unaweza kubahilia hela ambayo huna?
Namba 9Nina zawadi ya elfu 10 kwa atakayekuwa wa kwanza kutoa jibu sahihi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2103193