Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,003
- 124,322
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] hakyanani...ndio maana sipakagiNjombe Mgendera [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1727][emoji1727][emoji1727]
View attachment 2103211
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] hakyanani...ndio maana sipakagiNjombe Mgendera [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1727][emoji1727][emoji1727]
View attachment 2103211
Njombe Mgendera unapafahamu? Kuna nini huko mpaka pamelengwa na meme lords?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] hakyanani...ndio maana sipakagi
Aaaa kuuziana tena[emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji56][emoji56][emoji56]Tatizo pesa kamanda [emoji16][emoji16][emoji16]
Dola 500 kwa lisaa limoja ni parefu sana!
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Umeshatoa jibu lako hapo juu. Acha na wengine wajaribu [emoji16][emoji16][emoji16]
Uko kama mimi. Tangu nizaliwe nilishanunua mara moja tu tena zamani na kwa kulaghaiwa. Washikaji walinibeba eti twende huku tukakuonyeshe mambo tukakata kona hapa na pale kuja kushtuka tuko majumba saba kwa Wahaya nikaambiwa ingia pale kuna kabinti kapya kapya ndo kamekuja hela hii hapa. Nikaingia kwa shingo upande lakini....mpaka leo sijawahi kununua aisee [emoji16][emoji16]Aaaa kuuziana tena[emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji56][emoji56][emoji56]
Kununua mbususu naonaga kinyaa aisee.
Inaonekana ndio jina la mtaa peekee wanalolijua...hakuna maajabu yoyoteNjombe Mgendera unapafahamu? Kuna nini huko mpaka pamelengwa na meme lords?
Huu unaitwa upekepeke.Kuna ishu gani na Wema?
View attachment 2103183
[emoji16][emoji16][emoji16] usijifanye hujaona jibu langu...nilianza mimiUmeshatoa jibu lako hapo juu. Acha na wengine wajaribu [emoji16][emoji16][emoji16]
Correct. Kama kweli unaitaka hii nyekundu ya Msimbazi lete details PM nikurushie. Nitakuongezea na kabakhshishi kidogo sababu ya urafiki wetu wa kawaida wa siku nyingi [emoji16][emoji16][emoji1545]
Ubahili aiseeHata mimi sielewi
Ulisoma Linguistics?Syntax
Nisiitake kwa nini sasa nakujaa nifungulie mlango[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Correct. Kama kweli unaitaka hii nyekundu ya Msimbazi lete details PM nikurushie. Nitakuongezea na kabakhshishi kidogo sababu ya urafiki wetu wa kawaida wa siku nyingi [emoji16][emoji16][emoji1545]
Heri mimi nisiye na umaarufu [emoji3063][emoji3063]Yeye ni celebrity. Na ucelebrity una gharama zake. Kumlinganisha na wanawake wa kijijini si sawa...Ukiwa public figure ni lazima usemwe - kwa mema au mabaya!
View attachment 2103185
Eeeh Advanced level, hata chuo nilitamani sana nikasome sema ndio hivyo nikakorogaUlisoma Linguistics?