Pumbaaaaaav[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]VICHAA WATATU walikuwa wanasafirishwa kutoka Iringa kwenda {Hospitali} Dodoma walipokuwa njian kundi la SIMBA likapita katikati ya barabara
DOCTOR akawauliza: nyie
Mmewaona SIMBA hao?
kichaa mmoja akacheka Ahaa! kisha akasema Kumbe hawa ndio simba?
DOCTOR: akajibu ndio simba
KICHAA wapili akasema kwaiyo pale chama na kagere wapo wapi.?
DOCTOR: Duuh! kweli huyu ndio kichaa haswaa
KICHAA wa tatu yeye alitabasamu baada ya kusoma sms hii.[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1787]
Msimbaz ilikua ndio beach yetu kipind tupo kwenye ybora wetu[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Mpaka tunaenda kuvua mto Msimbazi na mto Mzinga tupate angalau peregeView attachment 2097897
CCM kitakapoachana na siasa za mitandao, makundi na ukanda, kitakuwa chama bora zaidi ambacho kitaiweka nchi kwenye nafasi stahiki.Nchi inapitia magumu sana,Imagine sasahivi tumeletewa Urio tena[emoji28]
Tecno itabak kuwa juuuuuuTecno yangu inajichaji so mgao wa umeme haunihusu.View attachment 2098618
hapo mahala ulipoweka kuna umeme ujueTecno yangu inajichaji so mgao wa umeme haunihusu.View attachment 2098618
Team ya mmiliki haitakiwi kufungwa[emoji460][emoji460]View attachment 2098634
Auto charge [emoji23]Tecno yangu inajichaji so mgao wa umeme haunihusu.View attachment 2098618
Si kwel,lkn niliingia kwenye mtego wa mtoa post[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Umetukanaaaaa[emoji1787]
mmiliki hata kama hajui kucheza namba yake lazima iwepoTeam ya mmiliki haitakiwi kufungwa
CCTV footageView attachment 2097185