Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Usafiri wa hovyo!








Kashika goti lakeHuyo mzee ameshika nini Ruki
Nami nimekuitika mara tatu SYBRukia, Rukia, Rukiaaaa
Nimekuita mara tatu![]()


Shemeji,Kinachoonekana kwa nje ni maji au mawingu?Usafiri wa hovyo!
View attachment 2097963
Hivi huyu mwamba bado yuko hai? Naona hasikiki tena...Joseph Kony.
UgandaView attachment 2097885
Hela za almasi zilimnogea akageuka muuaji wa watu wake akina Bansouda wakamtia kifungoni The Hague....Charles Taylor View attachment 2097886
Ni mawingu. Yaani ni tumbo moto mpaka likitua ndiyo unapumua. Huwa siamini kabisa kama linaweza kubakia angani kwa masaa 15 non stop. Mzungu mtu wa ajabu sana.Shemeji,Kinachoonekana kwa nje ni maji au mawingu?
Hiyo midude naiogopa tangu nipo mtoto
Songea hiyo. Nakuapia!Hii ni kanda ya ziwa kabisa songea hamna watu wa hiviView attachment 2097984