Boya. Alipewa mpaka umakamu wa rais akakubali baadaye akagoma akidai anautaka urais. Akina Mandela wakahangaika kusuluhisha weee wapi huyo akakimbilia msituni tena kumbe ikawa poor timing. Akawa hana faida tena kwa mabeberu na kama kawaida yao wakamtupa na kumwacha peke yake...matokeo yake yakawa kuzikwa mwituni katika kaburi lisilo na jina japo baadaye, ili kuonyesha mshikamano na roho ya kusamehe, mabaki yake yalizikwa kijijini kwao...
Jonas Savimbi mwisho wake wa enzi ni pale Mobutu Seseseko alipopinduliwa.Boya. Alipewa mpaka umakamu wa rais akakubali baadaye akagoma akidai anautaka urais. Akina Mandela wakahangaika kusuluhisha weee wapi huyo akakimbilia msituni tena kumbe ikawa poor timing. Akawa hana faida tena kwa mabeberu na kama kawaida yao wakamtupa na kumwacha peke yake...matokeo yake yakawa kuzikwa mwituni katika kaburi lisilo na jina japo baadaye, ili kuonyesha mshikamano na roho ya kusamehe, mabaki yake yalizikwa kijijini kwao...
View attachment 2097895View attachment 2097902