Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,756
- 146,971
Pole Sana ankali,vunilia katika kipindi hiki kigumu[emoji16][emoji16]Inauma ankali.
Wenzetu sijui waliwezaje miaka yote ile[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2097825
Pole Sana ankali,vunilia katika kipindi hiki kigumu[emoji16][emoji16]Inauma ankali.
Wenzetu sijui waliwezaje miaka yote ile[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2097825
VICHAA WATATU walikuwa wanasafirishwa kutoka Iringa kwenda {Hospitali} Dodoma walipokuwa njian kundi la SIMBA likapita katikati ya barabaraThe chicken thinks it is eating for free. But it doesn't know it is being fattened for slaughter.
This post is not about chickens.
Hahahaha[emoji23]Mama mkwe anafanya nini Lodge?
View attachment 2097962
Loki c...[emoji23]Ni kutoka.....[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2097968
Aaaamen[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2098005
Aa wapi.. kanda ya ziwa moja hiyo [emoji3]Songea hiyo. Nakuapia!
Naungana na mchangiaji wa kwanza kwenye mstari wa mwisho
Watu wana maneno khaaa!
Mungu azidi kuzibana akili zangu uwezo wake uwe ni wa kuwaza hapa hapa Mwakaleli.Ni mawingu. Yaani ni tumbo moto mpaka likitua ndiyo unapumua. Huwa siamini kabisa kama linaweza kubakia angani kwa masaa 15 non stop. Mzungu mtu wa ajabu sana.
Kwema huko?
Shwaini zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]VICHAA WATATU walikuwa wanasafirishwa kutoka Iringa kwenda {Hospitali} Dodoma walipokuwa njian kundi la SIMBA likapita katikati ya barabara
DOCTOR akawauliza: nyie
Mmewaona SIMBA hao?
kichaa mmoja akacheka Ahaa! kisha akasema Kumbe hawa ndio simba?
DOCTOR: akajibu ndio simba
KICHAA wapili akasema kwaiyo pale chama na kagere wapo wapi.?
DOCTOR: Duuh! kweli huyu ndio kichaa haswaa
KICHAA wa tatu yeye alitabasamu baada ya kusoma sms hii.[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1787]
Imekuwaje hadi wameshona sare?Usiombe ikukiteee[emoji12][emoji12]View attachment 2097085View attachment 2097086
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Baraka amezingua
Hapa lazima afiche bakuli lake