DuhEvil anakaribia kuwa mwema.View attachment 2097592
Jamaa namfahamu huyu. Mwalimu wangu wa kinanda mwaka 2008 akiwa SAUT mwanza. Naona anashangaa katunda kadogo[emoji23][emoji23][emoji23]Kwetu bariadi,tunakula tunda na samaki ya yoyoView attachment 2096314
Siku hizi hata maiti zinapostiwa. Aibu sana, nchi za wnaojielewa gazeti linapigwa faini. Mhariri na mwandishi wanakula lidandasKwenye taaluma ya uandishi wa habari picha kama hii inaruhusiwa kuwekwa kwenye gazeti?
View attachment 2096327
Kwangu wewe ni zaidi ya chakula [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]
KabisaaHii itakuwa wametoka Kasulu
Kisa katoa elfu 25 dahKuna watu wakitoa hela yao kwa ajili ya huduma basi watafanya watakavyo hata kama uharibifu,ndio kama huyo
Huyo mzee ameshika nini Ruki
...many are denied [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Old age is a privilege that many denies!