T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,085
- 30,471
AMENMungu akusaidie, usije ukaingiwa na uvivuView attachment 2080224
AMENMungu akusaidie, usije ukaingiwa na uvivuView attachment 2080224
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona uyoga jaman[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]View attachment 2079829
Hahahhahahahaha! N nn lkn....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utapika sana tena utumbo na mapupu. Na kusugua vyungu na masufuria [emoji16][emoji16][emoji16]
Kabsa yan kuna watu sjui wakoje, hana cha kukuuliza zaid "umeolewa? Una watoto wangapi sasa?" "Miaka yote hyo bado uko home, [emoji2959]"Aaaaa wapi! Ishi maisha yako binti. Kaa sawa na Mungu wako. Kwa nini upangiwe maisha na jamii? Ni lazima kuolewa?
View attachment 2079886
Petrostation.......[emoji1787][emoji1787]Kitalaam inaitwaje hiiView attachment 2079899
Bora avae kaptula nyngne juuu, hailet picha nzr [emoji18]Baba akiwa ufukweni na mabinti zakeView attachment 2079911
Kuna siku mzee wangu alikuwa anasinzia sitting room. Nikamwamsha mara ya kwanza akasema sawa ntaenda kulala ndani, nkarudia mara pili akajibu bwana wee kwani mimi nakukera kitu gani nawe sinzia tushindane.[emoji3][emoji3]