isebhusana
Member
- Jan 2, 2022
- 40
- 187
Mnakaa kwenu basi nyie siku hizi? Mnataka kukaa kwenye apartment zenu ili mupewe dyudyu vizuriKabsa yan kuna watu sjui wakoje, hana cha kukuuliza zaid "umeolewa? Una watoto wangapi sasa?" "Miaka yote hyo bado uko home,"
unataka nikakae wapi?
Jimbo liko wazi?Haya nimeachwa tena, ni muda wa kuendelea kupost memes.View attachment 2080449
KabisaaJimbo liko wazi?
Tumrudieni ty Mungu. Nchi ishageuka gulioKama upo katika hali mbaya jaribu kufikiria hali ya Samia ambae alikuwa anahamasisha Serikali yake kuwa mafisadi huku akifikiri kuwa hayupo live kumbe yupo live TBC Taifa!
View attachment 2080243
Baba mwenye minazi
Abeee ElyKabisa na mimi huwa napenda mno
Makiwendo
Abee T 1990 ELY
Unamuita mtu kwa jina lake anaitika YES au NAMBIE
