Ebu Wekeni basi picha ya hiyo sidiria ya mikono mirefu tujue ina fananaje
Malota Soma?
Walimu wa siku hizi ni shida [emoji16][emoji16][emoji16]
Watu bado hawajifunzi tu kushadadia shadadia vitu ovyo na hujui kesho huyo mtu unayemsema utakutana nae wapi...alimsema diamond mwisho wa siku kaja kumuomba ugali huyo huyo hajifunzi tu umbwa huyuYaani hata baada ya kuachia wazi ofisi yenu bado mnamkaanga[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 2072048
Watu bado hawajifunzi tu kushadadia shadadia vitu ovyo na hujui kesho huyo mtu unayemsema utakutana nae wapi...alimsema diamond mwisho wa siku kaja kumuomba ugali huyo huyo hajifunzi tu umbwa huyu