[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaskitisha sanaaa, yaan kadhulumiwa..ndge mjanja hunasa kwny tundu bovu[emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2074497
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya mzee wa Kinyantuzu ngoma ishapigwa hiyo.Joka Makengeza? [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2074518
Hivi huo ugali na mapochocho yake ukiwa kwenye mazingira ya kutambulishwa ukweni ni lazima umalize?Usukumani [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 2074534
Ameonywa ameifuta! [emoji16][emoji16]Haya mzee wa Kinyantuzu ngoma ishapigwa hiyo.
Kachukue fomu sasa ukalie kiti
Siyo lazima umalize. Actually huwezi kumaliza...ila itabidi uonyeshe juhudi na maarifa...[emoji16]Hivi huo ugali na mapochocho yake ukiwa kwenye mazingira ya kutambulishwa ukweni ni lazima umalize?
Mianasiasa [emoji51][emoji51][emoji706]Nimekosa mimi,nimekosa mimi,nimekosa sanaaView attachment 2074830