Hii ya Mgalilaya? Nilikuwa nacheza tu jana. Halafu ile yangu orijino picha siioni. Tangu jana natafuta dah!
Mungu ni mwema...It shall be well.Ngoma bado mbichi. Thanks for asking. You have a very good heart. You amaze me everyday the blessed one [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji8][emoji8]
Hivi wanatuonaje hawa!
Unapolala maranyingi unakuwa umejifunika na kuacha kichwa wazi. Hivyo ktk harakati za kutafuta upenyo lazima aje kichwani.
Hapa kuficha marinda[emoji16][emoji16]View attachment 2071880
Wamemchelewesha [emoji116][emoji116][emoji116]
Malaika alienaswa ndo huy mwenye Raba [emoji23]
Utafikiri Bongo muvi [emoji16][emoji16]Malaika alienaswa ndo huy mwenye Raba [emoji23]
Wanakupenda[emoji1787]Mimi najifunikaga gubigubi, na bado wanakuja kunipigia tarumbeta sikioni aaaaargh