BlueIvy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 1,038
- 2,898
[emoji41]dck 'maunteni'
[emoji41]dck 'maunteni'
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nawajua hawa usimtetee. Anamaanisha Msukuma huyu. Msukule hata anaujua basi? Hawa ni kuwawahi asubuhi na mapema kabla hawajazoea. Kuwa Msukuma ni mapambano! [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2075259
Mtuacheee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]Huyu Diva ni Msanii wa fani gani mkuu?Watu bado hawajifunzi tu kushadadia shadadia vitu ovyo na hujui kesho huyo mtu unayemsema utakutana nae wapi...alimsema diamond mwisho wa siku kaja kumuomba ugali huyo huyo hajifunzi tu umbwa huyu
S tu kuliwa n utachakazwaaaa
Mpka nmehis njaa ghafla, sema huo ugali hapana rang yake inanikatsha tamaa.....Kusema kweli inabidi ule. Tena ule hasa. Usipokula yaweza kuonekana pengine umewadharau hawajui kupika, unaona pengine mazingira ni machafu, unajiona na sababu zingine kibao. Kama huna uwezo wa kula ugali angalau basi ule nyama. Kawaida ni mbuzi utachinjiwa au kuku mzima mzima kila mara utakapokwenda ukweni mpaka baadaye sana utakapozoeleka. Kama huwezi kula mwambie mkeo/mchumba wako akakutetee huko kwa wapikaji!
View attachment 2075258
Ni wa utama huo sio???Mpka nmehis njaa ghafla, sema huo ugali hapana rang yake inanikatsha tamaa.....
Hapana asee! Nmeushndwa, ingekuwa dona ya mahind yale ya njano yachanganywe ngano pamoja na ndzi.....vnasagwa kuwa unga n hatari na nusuuu[emoji39]Ni wa utama huo sio???
Huyu kwanza anahamishwa anapelekwa Mafia akifika anaambiwa Barua ilikosewa ni Ukerewe, kule Ukerewe anaambiwa mshahara haujaja file liko Itilima. Itilima anapewa Barua ya kufukuzwa kazi Kwa kosa la kutoripoti kaziniMaisha yanaenda kasi sana.
Huyu mmiliki wa bastora sijui yuko wapi siku hizi?View attachment 2074911
Hicho ndo chakula sasa hasa kama unafanya shughuli ngumu ngumu kama za Wasukuma [emoji16]Mpka nmehis njaa ghafla, sema huo ugali hapana rang yake inanikatsha tamaa.....
..UMA[emoji3]MSU-K [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2075253
that i may not be led astray again[emoji1545]Lord give me discernment; to see, to know to understand, that i may not be led astray again IJN [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2075261