Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Wallah,eti kusubiri kuolewa[emoji3061]
Kuongezeana miaka hiyo veeep?
Eti jamani[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Huwa najiuliza hivyo navyo ni vituko au basi tu ilimradi!! Nakereka basi tu.Ndiyo. We si ndiyo unawekaga mambo ya siasa humu. Mi nilikuwa nakuunga mkono tu. Sipendi siasa kwa moyo wangu wote!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wameshaanza hawa jamaa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2065299
Ili uende wapi? Tulia malizana na interview then kale ushibe.Naachana na hiyo interview...
View attachment 2065300
Hivi tecno zetu ziliwakosea nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwanakulifind, mwanakuligeti!
Una utani na akina wolupa!
Apone kwa haraka aisee!Huyu mzee anaumwa