Hata tukiwa wanyenyekevu habari ndo hiyo!
Zitanunuliwa na masingomaza na walio above 30 mpaka ushangae. Huyu tayari tajiriView attachment 2065698
Tutafika mbinguni tumechoka sana
Nimemuona huyo jamaa. Hazijui siasa zinavyofanya kazi. Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu, you don't take things personal na upepo unaweza kubadilika wakati wo wote. Bado!Mkoa wa Njombe umeingia katika rekodi ya kutoa mwana CCM mwenye 'ujasiri' wa kusema Spika Ndugai hana adabu! Hii ndiyo Bongoland! Vituko mtindo mmoja!![]()