Yah umesema kweli kbs. Yani akili inasahau kabisaaaa km Kuna kitu iko duniani. Yn ata kuja haziji mpk unajiuliza hv mi nipo sawa kweli [emoji23]Mwanzoni ndio inakuwa ngumu kidogo ila kadri muda unavyoenda sio kiungo tu kina zoea hadi akili inajua kabisa hili swala halipo nisijishughulushe nalo
[emoji38][emoji38][emoji38] huo Uzi bhn ni kushindana tuYaani ninavyoshukuru kwenye uzi huu hakuna comment yangu wala like yangu hata moja[emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 2065437
Naikubali Sana hii kituShetani ana nguvu sanaView attachment 2065313
Ndio hivyo ndugu usiogope kuwa singleYah umesema kweli kbs. Yani akili inasahau kabisaaaa km Kuna kitu iko duniani. Yn ata kuja haziji mpk unajiuliza hv mi nipo sawa kweli [emoji23]
Wengi waigizaji tu kule.[emoji38][emoji38][emoji38] huo Uzi bhn ni kushindana tu
Kama umelifahamu hili sasa umekua. Mwaka mpya unaendeleaje?[emoji28][emoji119]View attachment 2065471
Mtetezi wa kweli wa maslahi ya tumbo lake [emoji706][emoji706][emoji706]