WowMjukuu wako yuko wapi mzee

Hongera kwa kuuona mwaka

Ah tunamshukuru Mungu rafiki yangu bado tupo hai bs. Mengine yanarekebishika tu hayo.Kama umelifahamu hili sasa umekua. Mwaka mpya unaendeleaje?
Ndiyo. Uzima ndiyo jambo la muhimu kuliko yote. Mengine yote madogo tu. Mungu Atulinde kwa mwaka huu na mingine mingi ijayo rafikiAh tunamshukuru Mungu rafiki yangu bado tupo hai bs. Mengine yanarekebishika tu hayo.

EmenNdiyo. Uzima ndiyo jambo la muhimu kuliko yote. Mengine yote madogo tu. Mungu Atulinde kwa mwaka huu na mingine mingi ijayo rafiki![]()